Breaking News
recent

Usain Bolt ashinda Gold Medal katika mbio za 100m Olympic...!

Mjamaica Usain Bolt hapo jana alifanikiwa kuchukua medali ya dhahabu baada ya kushinda katika mbio za mita 100 akifuatiwa na mjamaica mwenzake Blake (huyo hapo pichani) ambaye alichukua medali ya silver na katika nafasi ya tatu alikuwepo mmarekani ambaye amechukua medali aina ya bronze...! CONGULATULATION BOLT.....!

Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.