Kwa siku kadhaa sasa baada ya
kuanzia benchi kwenye mechi dhidi ya Fulham, vyombo vya habari nyingi dunaini
vimekuwa vikiripoti kwamba Mchezaji wa kimataifa wa England
anayeichezea klabu ya Manchester United - Wayne
atauzwa hivi karibuni na kocha wake Sir Alex Ferguson.
Lakini jioni ya jana kupitia
akaunti yake ya kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter Wayne Rooney alikanusha vikali taarifa za
kutaka kuuzwa na akasema ni uongo unaosambazwa na vyombo vya habari huku
akisisitiza ataendelea kubaki Old Trafford.
No comments:
Post a Comment