Leo hii mwanamuziki Dr. Jose Chameleo akiwa na mashabiki wake, wamevamia ubalozi wa Tanzania nchini Uganda akidai kurudishiwa passport yake iliyoshikiliwa na CEO wa Global Publishers Eric Shigongo kwa madai ya kumlipa pesa kiasi cha dola za kimarekani 3500 Chameleo na kushindwa kuja kufanya show.
hiki ndicho alichokiandika chameleon kwenye facebook page yake
I AM AT THE TANZANIAN HIGH COMMISSION IN DEMOSTRATION FOR THE CONFISCATION OF MY PASSPORT BY A TANZANIAN ILLEGALY ERIC SHIGONGO I NEED MY FREEDOM TO TRAVEL AS A UGANDAN!
I NEED MY PASSPORT BACK ASAP!
FOR GOD AND MY COUNTRY UGANDA.
DR. JOSE Chameleone
10 hours ago near Kampala, Uganda via mobile.
Maadamano ya Jose Chameleone dhidi ya Shigongo ubalozi wa Tanzania nchini Uganda.
Jose Chameleone akiandamana...!
Bongo Forest
Jose Chameleone
Jose Chameleone aandamana kwenda ubalozi wa Tanzania nchini Uganda kudai Passport yake inayoshikiliwa na Eric Shigongo...!

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment