Breaking News
recent

Ditto afiwa na baba yake...!

Ditto msanii kutoka THT, usiku huu majira ya saa moja usiku ameondokewa na baba yake mzazi anayeitwa Lambert Tido. Ditto anasema baba yake alikuwa akisumbuliwa na Figo kwa mda mrefu hadi mauti yalipomkuta usiku huu katika hospital ya Taifa Mwimbili
Mohamed Jaku's Blog inakupa pole sana Ditto na mungu akupe nguvu nyingi kwenye kipindi hiki kigumu ulichokuwa nao.
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.