Hii ndio video mpya ya m2 mzima Ambwene akimshirikisha Marco Chali iitwayo Party zone,Audio imetengenezwa MJ records chini ya Marco Chali mwenyewe na video ikafanyiwa nchini South Africa na kumgharimu Ay kiasi cha milioni 30 mpaka video kukamilika. BIG UP bro AY 2nakukubaliiiiiiiiiiiiii...!

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment