Mnamo tarehe 3 june 2012 saa 22:00 usiku tulishuhudia mechi kali kati ya Brazil na Mexico na tukaona Brazil ikilala kwa mabao 2-0, mabao hayo yakifungwa na Giovanni Dos Santos na Javier Hernandez "Chicharito" kwa mkwaju wa penalty. Well done vijana...!
No comments:
Post a Comment