Breaking News
recent

Dalili za Dunia kufika mwisho....Mwanaume mwenye miaka 65 afariki akikatikiwa na Stripper Club

    
Mwanaume wa miaka 65 amekutwa akiwa hatikisiki hata, kwenye club ya wacheza uchi iliyoko Texas siku ya ijumaa baada ya kupokea mauno ya kutosha kutoka kwa wanadada wa club hiyo.police wanaamini kuwa mzee huyo alipatwa na mshtuko wa moyo wakati akiburudishwa ndani ya Red Parrot strip club. kwa mujibu wa mmiliki wa club hiyo, wafanyakazi walijaribu ku perfom CPR kwa mteja wao huyo lakini hawakufanikiwa na alifariki dunia.mpaka sasa hakuna faulo iliyochezwa kufikia kifo cha mzee huyo, lakini bado uchunguzi unafanyika...
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.