Msanii wa muziki Bongo, Mwana FA ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Hata Sielewi’ akiwa amemshirikisha Maua Sama, video imefanyika Studio Space Pictures (South Africa), Producer wa audio ni Hermy B (B Hitz). Itazame hapa.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment