Rapa Iggy Azalea ameripotiwa kuwa na mahusiano na mchezaji wa ligi ya NFL, Odell Beckham Jr.
Iggy na Beckham Jr. wameonekana zaidi ya mara moja wakiwa pamoja
kwenye sehemu za bata na tayari mapaparrazi wanaimani penzi lao ni
MOTOMOTO Sana kutokana na usiri wa maisha ya Iggy mpaka kuamua kuonekana
karibu na Odell basi mambo SAFI.
Rafiki wa Odell alithibitisha taarifa hizi kwa kusema ‘Walikuwa pamoja na bado wako pamoja’.
Huyu ni mwanamichezo mkubwa wa pili kuwa na mahusiano na Iggy Azalea toka amepata umaarufu, wakwanza alikuwa mcheza kikapu wa Golden State Warriors, Nick Young.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment