Breaking News
recent

Picha ya Wema Sepetu akila Denda na mpenzi wake inayosambaa Mitandaoni na alichosema..

Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ameonyesha kusikitishwa na picha yake inayosambaa mtandaoni AkiMbusu mwanaume wake wa sasa.
Picha hii ipo kwenye kurasa tofauti za Udaku Instagram na Kupitia IG yake Wema Aliandika >>“Soooooo Disappointed….” kama ishara ya kuchukizwa na Picha hizi kusambaa huku pakiwa na maswali kama Picha Hii ilitokaje kwenye Simu yake ? Nani Ali Piga Hii Picha ? 

Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.