Baada ya maneno mengi mitandaoni kuhusu picha ya T.I.D. Na mwanamke
mmoja kitandani, staa huyu wa bongo fleva ameamua kutoa maelezo juu ya
picha ile na mazingira waliyokuwepo wakati inapigwa.
Kupitia Ig yake T.I.D Anasema “Naomba Nieleweke
Hivi…Namuheshimu huyu Dada na pia naheshimu Familia yake Naona Watu
wengi wameamua kuonyesha Jealous zao kupitia Picha ambayo imesambaa
kwenye Mitandao,Ukweli ni Kwamba tulikuwa kwenye Kipande cha Video yangu
Mpya Inayokuja Soon,so pliz naomba Muheshimu Kazi na Utu wake Kwangu”.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment