Kwa sasa rapa Drake ataanza kufahamika kama Record Breaker baada ya
album yake ya VIEWS kusikilizwa mara Bilioni 3 kwenye mtandao mmoja wa
muziki wa Spotify.
Album hii imesikilizwa mara 3,043,873,801 mpala November 7 2016 kwa mujibu wa MusicAlly.
Cd hii ilitoka April kupitia mtandao wa Apple Music na kusikilizwa mara bilioni moja mpaka September mwaka huu.
Mwezi uliopita wimbo wake wa “One Dance” ulivunja rekodi ya wimbo wa
Major Lazer “Lean On” kwenye mtandao wa Spotify kwa kuwa wimbo
uliosikilizwa zaidi kwenye histori ya mtandao huo ikiwa na namba milioni
924.5.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment