Imatajwa kama rekodi ya Dj Khaled kwa album yake ya Tisa kushika
namba moja kwenye chati kubwa za muziki za Billboard Top 200. Hii ni
chati ya album zenye mauzo makubwa kila wiki.
Hii ni album ya kwanza ya Dj Khaled ‘Major Key‘ kufikia kiwango hiki kwenye chati hizi ambapo imeitoa album ya Drake wiki hii kwa kuuza kopi zaidi ya 95,000.
Album hii inawasanii kama Jay Z, Future, Drake, Big Sean, Kendrick Lamar na Nas. Album ya Drake ‘Views‘
inabaki namba mbili wiki hii ikipeleka kopi 80,000 lakini ndio album
iliyokaa zaidi mpaka sasa kwenye chati hizi ikiwa inapanda na kushuka
kwa muda huu.
Bongo Forest
Entertainment
Forbes wametangaza rasmi rekodi ya Dj Khaled, Album yake ya kwanza kushika namba moja kwenye chati za Billboard.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment