Rapa Desiigner ameweka rekodi kama XXL FreshMan wa mwaka huu kuwa na
watazamaji wengi zaidi wa kazi zake kwenye mtandao wa Youtube baada ya
Freestyle yake ya “Timmy Turner” kutazamwa na watu zaidi ya milioni 7.4
million na kusambaa zaidi mitandaoni.
Baada ya freestyle hii kutoka tuliona upande tofauti wa rapa
Desiigner ambaye amekuwa akitumia nguvu sana kwenye show na video zake
ila kwenye freestyle hii anaonekana kutulia sana.
Desiigner pia amethibitisha kuwa “Timmy Turner” ni wimbo na unakuja hivi karibuni.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment