Breaking News
recent

Photo: Huyu ndio mpenzi wa Tinashe,aliwahi kuwa na Taylor Swift.

Baada ya kubwaga vibaya na Taylor Swift, Dj maarufu Calvin Harris ameripotiwa kuanzisha mahusiano na rnb staa Tinashe.

Tetesi zinasema  Tinashe na Harris walikutana studio kwa mara ya kwanza mwaka 2014 walivyofanya wimbo wa “Dollar Signs.” na wakati huo walihusishwa na mchongo wakumuandikia wimbo Rihanna.
Riri na Harris walionekana kwenye bata lao huko Malibu jumamosi hii.

Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.