Breaking News
recent

Drake karudi kwenye nafasi ya kwanza kwenye chati za billboard.

Rapa Drake anazidi kuweka rekodi na album yake ya Views baada ya kurudi kwenye chati za Billboard 200 kwenye nafasi ya kwanza na kufikisha wiki 10 kwenye nafasi hio.
Billboard 200 Top 10
1. Drake – Views – 92,000
2. ScHoolboy Q – Blank Face LP – 74,000
3. Blink-182 – California – 37,000
4. Twenty One Pilots – Blurryface – 36,000
5. Hamilton – 35,000
6. Rihanna – ANTI – 34,000
7. Beyoncé – LEMONADE – 33,000
8. Chevelle – The North Corridor – 33,000
9. Adele – 25 – 32,000
10. Switchfoot – Where the Light Shines Through – 29,000
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.