Yule mtoto mkali aliyeigiza kama Hacker kwenye Fast 7 amepewa tena
shavu kuigiza kwenye Fast 8 kama Ramsey tena. Vin Diesel amethibitisha
kuwa Nathalie Emmanuel atakuwepo kwenye filamu ya Fast 8 kwa kuandika hivi instagram
“Ramsey’s back! Love this girl…”
Emmanuel anaonekana kwenye Game of Thrones kama Missandei, alionekana mara ya kwanza kwneye Furious 7 kama hacker Ramsey.
Utayarishaji wa Fast 8 unaelekea kuanza nchini Cuba, kabla ya kwenda kumaliziwa nchini Marekani mjini New York. Fast 8 inatoka April 14, 2017.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment