Rnb staa Trey Songz amefurahisha mashabiki wa muziki Nigeria baada ya kuimba wimbo wa Davido ‘Aye’ alivyokuwa naye kwenye jukwa mmoja.
Trey Songz alikuwa Lagos, Nigeria weekend hii kwenye show ya 2015 Rhythm Unplugged na hii ndio video ya show hio .
No comments:
Post a Comment