Mwimbaji wa bongo fleva Shilole aka Shishi amefanikiwa kufanya collabo na msanii/producer kutoka Nigeria Selebobo. Shilole alikuwepo Nigeria na wasanii Feza Kessy na Lina kwaajili ya show ya Sound City.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment