Davido ni miongoni mwa wasanii wasio na aibu na uoga wa kutumia pesa kwenye kununua chochote apendacho. Kwenye show yake Nigeria mjini Lagos weekend hii alionekana akiwa na saa aina ya Rolex iliyopambwa na Almas.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment