Picha, Tattoo mpya ya Justin Bieber ‘Fly With Me’. Mohamed Jaku 1:04 AM Mohamed Jaku JB aka Justin Bieber anaelekea kuwa kama Kid Ink au Chris Brown baada ya kuongeza tattoo zaidi ya tatu kila mwaka kwenye mwili wake. Hii mpya iko nyuma ya shindo yake na imepewa jina ‘Fly With Me’. Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest
No comments:
Post a Comment