Mwanzoni wa mwezi huu Will Smith aliweka headlines na ujio wa wimbo wake wa kwanza wa HipHop “Fiesta” baada ya kupotea kwa miaka 10 kwenye kurasa za muziki wa HipHopMarekani… kama wewe ni miongoni wa mashabiki wa Will Smithbasi hii good news ikufikie, official video ya “Fiesta” ipo hewani tayari!
No comments:
Post a Comment