Mcheza filamu za kitanzania Rammy Galis ambaye amejizolea umaarufu
mkubwa kwenye filamu kama vile Snitch na chausiku anadaiwa kukamatwa huko
Arusha na huenda akafikishwa mahakamani november 17 mwaka huu
chanzo
chetu kiilizipata info kwa mmoja kati ya watu walioshuudia timbwili
zima wamesema mcheza filamu huyo amekubwa na soo hilo maeneo ya Njiro
mjini humo Mpaka sasa bado tuanendelea kufatilia sakata hilo na hivi
punde tutawajulisha kinachoendelea, Rammy Galis anatarajia kuachia
filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Vocha akiwa na msanii Hemedi na
wengine wengi na inasambazwa na steps entertainment usikose nakala yako.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment