Kama tulivyoripoti mapema kuwa Ay yupo Marekani ambapo amekwenda kufanya
video na Sean Kingston, Pia
ana mpango wakufanya wimbo mwingine na msanii mkubwa kutoka huko.
Hii ni tweet ya mama yake Sean Kingston 'Janice Turner' kuhusu ujio wa wimbo wa Ay na Sean Kingston.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment