Producer na msanii kutoka studio yake mwenyewe "sharobaro music" Bob Jr mnamo July 11 ametoa zawadi ya wimbo mpya kwa mashabiki wake
"Bolingo".
Bob jr amesema Bolingo maana yake ni mapenzi na wala hamaanishi kama
watanzania wengi tulivyozoea kuwa ni miziki ya kutoka Congo.
"Bolingo maana yake ni mapenzi, unajua watanzania huwa tunasema miziki
ya bolingo lakini ukweli hakuna miziki ya bolingo, ni lingala, bolingo
maana yake ni mapenzi, so mi nimemaanisha mapenzi" amesema Bob Jr
No comments:
Post a Comment