Ni mastaa ambao walipoanza mapenzi yao wengi waliona kama wanafanya
hivyo ili kutengeneza headlines tu zitakazofanya wauze muziki wao lakini
May 19 2014 mastaa hawa wamepata mtoto wao wa kwanza pamoja japo akiwa
ni mtoto wa nne kwa Future.
Mtoto alizaliwa Los Angeles Marekani na tayari saa kadhaa baadae mama
yake akashea instagram picha ya kwanza ya mtoto huyu japo ni nusu picha.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment