diamondplatnumz
Hata kama akifa kesho: Huyu ndio msanii Diamond anamuaminia kuipeperusha bendera ya Tanzania kimuziki
Watu wote tunajua kuwa Diamond ni mmoja wa wasanii wanaoipeperusha
bendera ya Tanzania ki-muziki katika nchi mbali mbalii nje na ndani ya
Africa, kwa kufanya Collable na wasanii wa nje ya Tanzania, kwa
kutengeneza video zenye quality ya juu na kusababisha kuchezwa katika Tv
za Nje ya Africa nk. lakini huyu ndio msanii ambae yeye anamuaminia ,
na hata kudiriki kumuandika katika acc yake ya Instagram kuwa ndio
msanii atakaeipeperusha bendera ta Tanzania hata kama yeye atakufa kesho
diamondplatnumz
Moja
ya watu ambao naamini hata NIKIFA kesho, Roho yangu itakuwa na amani ya
kuamini kwamba kuna mtu ambae anaipeperusha vyema bendera ya Nchi
yangu kupitia muziki... you jus call him @ommydimpoz ila wacha mi nimuite Kibonde..!
diamondplatnumz
No comments:
Post a Comment