Licha
ya kufanya Collable na procer/ Msanii kutoka Nigeria "J Martins kwenye
hit song lake "Bila Kukunja Goti" na kumfanya aingie katika kuwani tuzo
za Kili mwaka huu (2014), FA amefunguka sababu zake za kwanini
haufagilii muziki wa Nchi hiyo.
katika habari nyingine,nimeamua kuwa hater wa mziki wa Nigeria..
"kwanza nafikiri watu wanafanya double standard wakati wa kusikiliza
mziki, yaani wameshafikirishwa kwamba mziki wa nigeria ni mzuri, it
doesnt matter now, kwasababu mi nikisikiliza wasanii wa Nigeria na hata
nikisikiliza ufundi wao jinsi wanavyoimba, sioni kama jamaa wanakuwa
mafundi hivyo.naamini tuna watu wengi sana wanafanya vizuri zaidi yao
hapa, lakini kwasababu watu wanaangalia mziki wa Nigeria kivingine na
wakibongo vingine inakuwa shida. Ukimuacha mtu kama Ben Pol utapata
shida sana utapata shida sana kumtafuta mwanamziki wa Nigeria ku-match
nae kwa uwezo wa kuimba, lakini mtu akishaskia mziki wa Nigeria shughuli
imeshabadilika tena , lakini pia kwasababu wao wameamua kunga mkono
mziki wao....." Amesema FA....
No comments:
Post a Comment