Mshindi wa BBA 2013 Dillish Mathews ameachana na mpenzi wake a siku
nyingi Stephen Gaeseb kwa kilichoripotiwa na Namibian Sun kuwa ni baada
ya Dilish kugundua kuwa mpenzi wake anamtumia meseji za mapenzi mwanamke
wa ki -Nigeria.
Alikiri kuwa wakati Dillish alipokuwa katika show, kulikuwa na mwanamke
wa ki-Nigeria aliekuwa akisaidia kumpigia debe katika nchi yake kumpigia
kura aweze kushinda. Nilikuwa nikiwasilian nae kwasababu ya kumsaidia
kupiga kampeni, tumekuwa tukitumiana meseji za kimapenzi, kitu ambacho
wanaume wengi hufanya, haimaanishi nataka kuwa nae, kisha akatuma picha
ya maongezi yetu kwa rafiki yake na Dilish ambae alimtumia Dellish.
tukawa na malumbano kati yangu na Dillish na kisha tukalumbana na
vingine pia kitu kilichopelekea kuongea vitu ambavyo hatukutegemea
kuongea. Baada ya hapo tukaamua kuachanana hatuko pamoja tangu mwezi wa
kumi na mbili.
Stephen pia amekanusha madai ya kuwa Dilish ni gold digger na kuwa
wameachana baada ya kupata pesa za ushindi wa BBA na kuendelea kusema
kuwa licha ya kuwa ana hela kwa sasa lakini pia ni mschana mzuri na
anamuheshim sana na kukana kuwa amempa mimba mwanamke mwingine na kuwa
ana watoto wengine.
wakati huo huo Dillish amezindua lip gloss zake Dillish by vault
No comments:
Post a Comment