Breaking News
recent

Picha ya Davido akiwa na Mdada wa kibongo kitandani yavuja Mtandaoni

Leo hii mtandaoni imezagaa picha hii inayomuonesha Davido akiwa amelala huku binti akijifotoa pamoja nae.



Inasemekana kwamba nyota huyo wa Skelewu toka Nigeria alipigwa picha hiyo na mwanadada huyu anayedaiwa kuwa ni Mbongo tena wa Bongo muvi kipindi alipokuja hapa nchini kwetu.
Kwa jinsi inavyoonesha picha hiyo ni chumbani tena wakati wa usiku maana hata shuka limehusika hapo ndani na hata hizo pozi la wawili hawa na utata kimtindo, lakini swali linabaki ni kweli huyu dada ni Mbongo?
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.