Kiongozi wa Maybach Music Group Rick Ross ni kweli kwa
sasa anaishi maisha ya certified boss baada ya kuripotiwa kudondosha
mamilioni ya dola kununua bonge la mansion lililokuwa likimilikiwa na
mcheza ndondi wa zamani Evander Holyfield, kwa ripoti zinavyodai, jumba hilo kwasasa linamilikiwa na Ricky Ross.
Jumba hilo lina vyumba 106 na lina ukubwa wa square meter 54,000
lililokaa kwenye eneo lenye ukubwa wa heka 235, na kwa ajili ya burudani
tu mule ndani, kuna ukumbi wa sinema, pamoja na bowling. chumba cha
kulia chakula cha usiku kinachukua watu 100 au ricky ross mmoja na
wageni kumi.mwanzono Hollyfield alipoongea na AJC alisema kuwa manssion
hiyo ina private swimming pool kubwa marekani nzima.
kwa ukubwa huo Bawse atatakiwa kuachia $ million 1 kila mwaka kwasababu
tu ya matengenezo ya kawaida ya jumba hilo, ukijumlisha na malipo ya
jumba hilo, gharama za maisha,malipo ya magari yake na gharama zingine
alizonazo kwa nyumba zingine anazomiliki

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment