Breaking News
recent

On the cover of Baabkubwa this month

OFCOURSE NI FULL PACKAGE AMBAYO IMEBEBA EXCLUSIVE INTERVIEW YA NYOTA WA FILAMU TANZANIA ELIZABETH MICHAEL A.K.A LULU.

REMEMBER THAT BAABKUBWA NDIO PRINT MEDIA YA KWANZA KUFANYA 1 ON 1 INTERVIEW WITH THIS CUTE TANGU ALIPOTOKA NJE KWA DHAMANA YA KESI INAYOMKABILI. TOFAUTI NA WENGI WATAKAVYOFIKIRI, HUMU LULU KAONGELEA KITU KITU, MIPANGO, ANACHOKIFANYA KWA SASA NA MAMBO MENGINE MENGI AMBAYO HAJAWAHI KUYAONGEA POPOTE ZAIDI YA BAABKUBWA MAGAZINE. IN SHORT UTA-ENJOY MENGI YANAYOMUHUSU LULU HUMU NDANI.
OUT OF THAT KUNA MASTORY YA KUSHIBA YANAYOGONGA KILA KONA, KUANZIA SIASA, BONGOWOOD, SKONGA, RECORD REPORTS, LENZI BAABKUBWA AMBAPO PICHA ZA SHOW YA P-SQUARE NA EBSS ZIMEHUSIKA BILA KUSAHAU MASTORY YA KUFA MTU NDANI YA SHOWBIZ 411 AND GOSSIP.
USIPANGE KULIKOSA,,,,,, NI SHIDAAAAAAAAAAAA…..!
BAABKUBWA COMING OUT THIS WEEK……!
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.