Kama ilivyo kwa Samsung na Sony Ericsson sasa nokia wameanza kutoa
smartwatch ambazo zitatumika na simu aina ya Lumia pamoja na tablet za
nokia (lumia).
Lumia Smartwatch zitakuwa na rangi tofauti tofauti na zinaendeshwa na
windows platform. Sifa moja ya hizi saa ni uwezo wa kutumika hata kwenye
maji.
Kama ilivyo Samsung Galaxy Gear Smartwatch, Lumia Smartwatch
itakusaidia kuperuzi simu yako, kusoma barua pepe, kusoma message bila
kusahau kupiga simu.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment