Kupitia Instagram Rais wa team Poz Kwa Poz (PKP) ameinadi ndinga yake mpya aina ya Mark X.
Ni usafiri mpya kabisa ukiwa hauna hata namba za usajili leo akiwa
anaufanyia usafi Car Wash ya Jaffarai iliyopo eneo la Mikocheni.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment