inaonekana Dully ana mzigo mwingi sana kwenye store yake, baada ya utamu
kufanya poa, saa hii amedondosha single mpya kutoka studio 4.1.2, fanya
kusikiliza "Kabinti Special" kutoka kwa Dully Sykes.
"video iko tayari na soon itaanza kuonekana, na katika wimbo huu kwa
mbali unaemsikia ni msanii wangu, kutoka studio yangu, anaitwa Nandy,
nimeamua kuachia sasa hivi kwasababu ndio wakati wa biashara huu, so
mashabiki wangu naomba mnipokee". amesema Dully
No comments:
Post a Comment