'Kanye West akodishwa kutumbuiza
katika Harusi' [One can hardly imagine this happenin'] lakini hiki kitu
kinawezekana kabisa as long as kuna mpunga wa kumtosha kufanya hivyo, and YES
INDEED, kitu hiki kimemtokea rapa huyu mwishoni mwa mwezi ambapo
alikwenda kufanya show katika Harusi huko Kazhakstan.
Kanye
alitumbuiza wageni katika harusi katika ukumbi mmoja uliopo katika
hoteli ya Royal Tulip, na hii ilikuwa ni katika harusi ya mjukuu Rais
Nursultan Nazarbayev.
Story
kubwa kutoka tukio hili ni kiasi cha pesa ambayo Kanye amelipwa kufanya
burudani hii, Dola milioni 3 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 4 za
Kitanzania kwa kuimba kwa muda mchache tu.
Story
kubwa zaidi katika hili pia ni maoni tofauti ambayo msanii huyu amekuwa
akikumbana nayo kwa sasa hasa kutokana na kukubali kwenda kutumbuiza
katika himaya ya kiongozi huyu ambaye ni Dikteta.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment