Ikiwa ni miaka 4 (2009) tangu Bow wow alipom-kiss Super Model Tyra Banks
kwenye kipindi chake mwenyewe mwanadada (The Tyra Banks Show), Bow wow
amerudia tena kitendo hicho na safari hii ikiwa ni kwenye kipindi
anachokiendesha Bow wow (106&Park), ambapo jana Tyra alikuwa ni
mgeni rasmi katika kipindi hicho.
Bow Wizzy alipopata chance tu, alijisogeza karibu na Tyra pia alisogea
na kuweka mapaja yake juu ya mapaja ya Bow wow na Tayra akatupia lips
zake kwenye lips za dogo na Bow wow kuonekana kuridhiiiika hatari, huku
akiendelea kujisifia yeye ndio mtangazaji bora zaidi wa kiume kwenye
upande wa TV
CHEKI VIDEO HIZI
Hii ilikua 31 july 2013
Na hii ni 09 september 2009
No comments:
Post a Comment