Hii
Ndio Post Yake kwenye Instagram Ya Star Wa Single Mpya 'Tupogo' Ommy
Dimpoz Kuhusu Kupima HIV Na Kuamua Kuto Uza au Kununua Mechi Tena.
Kwenye Interview ya simu aliyofanya na mwandishi wa habari fulani, Ommy amesema hizi ndio sababu za yeye kupima H I V
1] Kujua Afya ili ujilinde na uwe mtu bora.
2] Kukinga wengine baada ya kujua afya yako pia ni muhimu.
Bongo Forest
Ommy Dimpoz
Ommy Dimpoz apima ngoma (HIV), Fahamu majibu yake hapa na uamuzi aliyochukua kutokana na majibu hayo

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment