Linex ft Sunday Mjeda, haya yote ni majina mawili ya mtu mmoja ambaye
ni msanii Linex.Kwenye hii ngoma yake mpya “Kimugina”,unaweza kusema
amejishirikisha mwenyewe kutokana anavyowatambulisha wasanii
walioshiriki kwenye hii ngoma ni Linex akimshirikisha Sunday mjenda.
Pata nafasi ya kuisikiliza naku-download hapa

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment