Breaking News
recent

NEW SONG: Meninah - Shaghala baghala

Msanii chipukizi alieko chini ya Producer Nguli nchi Lamar Niekamp hapa namuzngumzia Menina
kinda kutoa BSS baada ya kuachia kazi zake za mwanzo kaachia kibao kingine,unaweza kuwa wa kwanza kuuskiliza na kisha kuupata kabisa kuifadhi kwenye mashine yako au simu nyimbo hii
inayoenda kwa jina la Shaghala bhaghala.......


Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.