Ligi ya Uingereza (Barclays Premier League) imekuwa ligi ya kwanza kutumia goal line technology.
Tekinologia hiyo inadaiwa kutumia camera 7 kuangalia jinsi goal
linavyoingia. Using seven cameras per goal to detect the ball, it claims
to be “millimetre accurate”.
Imegharimu kila timu kwenye ligi hiyo kiasi cha £250,000 kuweka mitambo hiyo kwenye viwanja vyao.
Endapo goal litaingia, mtambo huo utatuma signal kwa referee ndani yani ya sekunde mbili.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment