Msanii nyota wa Bongo movie, Wema Sepetu, amejikuta akitoa
matusi ya nguoni kwa mlinzi wake baada ya kukuta gari lake likiwa
limeibiwa power window na betri la gari lake kuchomolewa.
hali hiyo imetokea nyumbani kwake Kijito nyama, pale alipokuwa akijaribu kuwasha gari lake na kuondoka.
video hii inaonyesha majirani waliposkia kelele za matusi kutoka kwa
mwanadada huyo waliamua kupanda sehem na kuchukua video ya kilichokuwa
kikiendelea kwa kujificha.
Wema akimkimbiza mfanyakazi wake huku akiwa na beseni lenye maji
No comments:
Post a Comment