Kwenye
nyumba ya Kanye West Na Kim Kardashian yenye thamani ya dola Milioni 11
za Kimarekani kuna vitu vyenye thamani kubwa kama vitanda, jiko na
makochi, ila kilicho make headline zaidi ni vyoo vyao vyenye thamani ya
dola Milioni 1 za Kimarekani. Kwa mujibu wa HipHopWired.com, West na Kardashian wamenunua vyoo vinne vya Gold vyenye thamani ya dola milioni moja. Bonyeza Read More Uone Picha Zaidi
Bongo Forest
Kanye west
Photoz: Choo cha Gold kilichonunuliwa na Kanye West na Kim Kardashian hiki hapa

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment