Breaking News
recent

NEW SONG: Joh Makini & Nikki wa Pili - Bei ya Mkaa

Kutoka weusi kampuni, this time arounds wanadondoka na album yenye kuonyesha ushindani kati ya ndugu, kaka wawili John Simon (Joh Makini) na Nikki Simon,  "Joe Makini Vs Nikki wa pili", ambayo mpaka sasa ngoma nne zimeshakamilika kutoka studio mbali mbali ikiwemo Bhits.

 leo hii wameachia single mpya na ya kwanza inayotambulisha album hiyo, "Bei ya Mkaa"


Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.