Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania katika jumba la Big brother "The Chase" Ammy Nando leo jumatano ya tarehe 31/07/2013 alikuwa katika interview kwenye kipindi cha XXL cha clouds fm na kukaririwa akisema "i live my life with no regrets" yaani anaishi maisha yake bila kujutia kilichomtoa BBA "The Chase". Pata nafasi ya kumsikiliza hapa....................

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment