Breaking News
recent

Kanye West kaingia kwenye utengenezaji wa nguo za kiume

Kanye West akishirikiana na kampuni kutoka ufaransa "A.P.C" na kuanza kutengeneza nguo za kiume.
French brand A.P.C. walitoa habari hizo kupitia account yao twitter na kusema “A.P.C. KANYE CAPSULE COLLECTION JULY 14,”.
Kanye West aliweza kutoa shukrani zake kupitia ukurasa wake wa twitter na kumpongeza mkurugenzi mkuu wa kampuni ya A.P.C.

 Hii sio mara ya kwanza kwa Kanye West kushirikiana na makampuni makubwa kutengeneza mavazi pamoja na viatu.
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.