Breaking News
recent

Happy Birthday to Mohamed Jaku (de Blog Admin / Owner)

Mohamed Jaku (Blog Admin)
Leo hii tarehe 04/07 the blog Admin/Owner anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza miaka ishirini na kadhaa. Kwa kifupi tu ni kwamba "the blog Admin" amezaliwa 04 july katika hospitali ya SHREE HINDU MANDAL iliyoko mitaa ya posta jijini Dar es salaam na katika mida ya saa kumi na mbili jioni (12 jioni) ndo mtoto huyu wa kiume alizaliwa. Wewe ukiwa kama reader/pageviewer/mdau wa blog hii ya kijanja put your comment here kumu-wish kijana huyu (blog Admin) a very good Happy Birthday.
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.