Kampuni ya Golggenie ya Uingereza inayohusika na utengenezaji wa bidhaa kama simu kwa kuziongezea madini ya thamani, imepata dili exclusive la haki ya usambazaji duniani kote wa simu za superstar iPhone 5. Simu hizo zimetengenezwa kwa dhahabu na kuzungushiwa almasi 364. Bei zake zinaanzia Pound 48,000 mpaka Pound 68,000 ambayo ni zaidi ya shilingi bilioni 1.6.
No comments:
Post a Comment