Leo hii kupitia kipindi cha XXL cha Clouds Fm, AY ameachia single mpya
akiwa na FA pamoja na J Martins kutoka Nigeria "Bila kukunja goti" ,
mkono ukiwa wa Producer Marcochali studio za MJ.
akizungumza na Fetty pamoja na Adam mchomvu, AY alisema kuwa idea nyuma
ya wimbo huo ilitoka kwa Marcochali na wao kama wasanii ndio wakajazia
lyrics na kuikamilisha ambapo nakupa nafasi ya kuisikiliza/kuidownload hapa.
No comments:
Post a Comment