Breaking News
recent

Malipo ya kumsajili Neymar (FC Barcelona) Yaingia Dosari

One of the Neymar Investor amewelalamikia Fifa na kuwataka wachunguze kiasi cha €57 million zilizolipwa na Fc Barcelona ili kumsajili Neymar kutoka kwenye club yake Santos.

Barcelona walilipa deposit ya €10 million kipindi ambacho mkataba wa Neymar na Santos ulikuwa bado haujaisha. Kutokana na kitendo hicho Fc Barcelona wamejikuta wakivunja sheria za Fifa.
Vice President wa Barcelona Jose Maria Bartomeu alisema Neymar amesajiliwa kwa kiasi cha €57 million huku Santos wakisema kwamba Neymar ameuzwa kwa kiasi cha €17 million.
Inasemekana kwamba “Santos is leaving out the truth so that the investors receive less.”
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.